Nilipokuwa nakabidhiwa mfano wa hundi ya ushindi wangu namba mbili waTuzo za Mwanamakuka na Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) Wanaoshuhudia kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais, Asha Bilali na Mwenyekiti wa Unit of Women Friends(UWF) Esther Wakati.
Afisa
Uhusiano wa Airtel Jane Matinde (kulia) akinikabidhi mfano wa hundi ya ushindi wangu wa pili wa Tuzo za Mwanamakuka 2013. Wanaoshuhudia (kulia katikati) ni Mwenyekiti wa Unit of Women Friends (UWF)
Esther (kushoto) Msimamizi wa tuzo hizo Mariam Shamo akifuatiwa na Mke wa Makamu wa Rais, Asha Bilal.
Waandaaji
na wadhamini wa Tuzo za Mwanamakuka 2013 wakiwa katika picha ya pamoja
na mgeni rasmi Mke wa Makamu wa Rais, Asha Bilali wakati wa sherehe za
tuzo hizo zilizofanyika Machi 8, 2013.
No comments:
Post a Comment